Habari za Mastaa

PICHA 11: Uhusiano wa Wiz Khalifa na Amber Rose umerudi upya?

on

Inafahamika ndoa yao ilivunjika ni zaidi ya miaka miwili sasa, lakini bado mastaa Wiz Khalifa na Amber Rose hawajasahau kwamba wao ni wazazi na wana mtoto wa kiume. Jumatano ya wiki hii mastaa hawa walikutana kanisani huko California wakati wa maadhimisho ya siku ya Shukrani wakiwa na mtoto wao Sebastian mwenye miaka mitatu.

Mrembo model Amber Rose mwenye miaka 33, alionekana mwenye furaha kukutana na baba wa mwanae, Hip Hop star Wiz Khalifa ambaye alikuwa amembeba Sebastian. Wawili hawa walianza kudate 2011, wakachumbiana mwaka 2012 na kufunga ndoa July 8, 2013. 

September 2014 Amber alifungua kesi mahakamani kudai talaka baada ya taarifa zake kwamba amegundua Wiz Khalifa anadate na mfanyakazi wake. Amber Rose aliwahi kuwa mpenzi wa Kanye West miaka ya nyuma kabla ya kukutana na Wiz Khalifa.3a92493200000578-3965900-having_fun_amber_shares_sebastian_with_wiz_khalifa_pictured_earl-a-74_1479937971909 3ab28a5200000578-3965900-image-a-5_1479934787293 3ab28a8200000578-3965900-image-a-2_1479934483697 3ab28b4b00000578-3965900-image-a-4_1479934782504 3ab28c4f00000578-3965900-image-a-3_1479934587558 3ab34a4200000578-3965900-image-a-29_1479943213337 3ab34ae600000578-3965900-image-a-31_1479943217929 3ab289db00000578-3965900-image-a-1_1479934152153 3ab354af00000578-3965900-image-a-30_1479943215196 3ab354d600000578-3965900-image-a-32_1479943221648 3ab356da00000578-3965900-image-a-33_1479943230710

 

AUDIO: Ommy Dimpoz amezungumzia beef  yake na Diamond, ukaribu wake na Alikiba

AUDIO: Alichokizungumza Diamond kuhusu Ommy Dimpoz, Collabo na Rick Ross, Rihanna

Soma na hizi

Tupia Comments