Top Stories

GOOD NEWS KWA WAGONJWA WA MOYO NA UBONGO DODOMA

on

Hospitali ya taifa ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma imeanzisha maabara rasmi ya kufanya uchunguzi wa magonjwa ya moyo ikiwemo kuzibua mishipa ya damu ambayo itakuwa ni endelevu ambapo kwa siku ya leo February 11, 2019 imeweza kuhudumia jumla ya wagonjwa saba.

Kamishana wa Dawa za Kulevya aliyotaja Njia zinazoingiza Dawa za kulevya

Soma na hizi

Tupia Comments