AyoTV

VIDEO: Team Wema walivyomsuprise Wema Sepetu kwenye vigoma Tanga

on

Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameendelea kujitengenezea pesa kupitia jina lake ambapo September 10, 2016 alifanya show ya kucheza vigoma kwenye mkoa wa Tanga ambapo wakati tukio lenyewe likiendelea akafanyiwa suprise na mashabiki wake kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.

ULIIKOSA HII PATY YA WEMA SEPETU ILIYOANDALIWA NA TEAM WEMA, IDRIS PEMBENI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments