Habari za Mastaa

VideoMPYA: Manengo ft. Stamina na Mr. Blue ‘ghetto navuta subira kuliko poda na mmea’

By

on

Ipokee nyingine ya kuitazama kutoka kwa mwimbaji wa Bongo Fleva Manengo akiwa amewavuta karibu Stamina pamoja na Mr. Blue kwenye ngoma mpya ya ‘Bomba Ipepee’, karibu kuitazama kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

VIDEO: NOMA !!! NANDY NA WILLY PAUL WALIVYOPEWA SHANGWE SUMBAWANGA…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments