Mix

Kutana na Gabe Adams kijana ambaye hana miguu na mikono lakini ana uwezo wa kudansi (+Video)

on

February 5 2016 nakusogezea stori ya  Gabe Adams kijana mwenye umri wa miaka 17 aliyezaliwa na ulemavu wa mikono na miguu mwenye uwezo mkubwa wa kucheza muziki, mtu wangu wa nguvu nakusogezea pichaz na video zinazo muonesha  Gabe Adams akionesha umahiri wake wa kucheza muziki licha ya kuwa ni mlemavu.

bra

Gabe Adams akiwa na wanafunzi wenzake

Gabe amekuwa kivutio na mfano kwa wanafunzi wenzake wa Davis High School, kutokana na umahiri wake wa kucheza muziki, kutojitenga na kufanya wenzake wavutike kucheza muziki. Hii ni video ikimuonesha Gabe Adams uwezo wake wa kucheza muziki na wenzake.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments