AyoTV

VIDEO: Mazoezi ya Serengeti Boys kuelekea game vs Angola na ripoti ya Doctor

on

Jioni ya May 17 2017 timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boysambayo ipo Libreville Gabon kwa ajili ya michezo ya AFCON U-17 kesho itacheza mchezo wake wa pili wa Kundi B wa michuano hiyo dhidi ya timu ya taifa ya Angolakatika uwanja wa Stade de Amitie.

Kuelekea mchezo huo AyoTV imetembelea mazoezi yao ya mwisho katika uwanja wa nje ya Stade de Amitie, AyoTV imefanikiwa kuongea na daktari na kocha kabla ya game hiyo wakiwa katika uwanja wa mazoezi.

VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera

Soma na hizi

Tupia Comments