AyoTV

VIDEO: ‘Sina wasiwasi na Rais Magufuli’ – Mbunge Abdallah Ulega

on

Hii inatokea Bungeni Dodoma leo May 11, 2017 ambapo Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega aliposimama kuwajibu baadhi ya wabunge wanaosema kuwa Serikali chini ya Rais John Pombe Magufuli imeshindwa kutekeleza baadhi ya ahadi zake kubwa walizoahidi wakati wa uchaguzi ikiwemo kutatua changamoto ya maji.

VIDEO: Vituko vingine vya Mbunge ‘Bwege’ Bungeni May 10 2017 

Soma na hizi

Tupia Comments