Habari za Mastaa

Mtikisiko kwenye mapenzi ya mastaa, Roma, Vanessa, Alikiba je ni kweli yameisha?

on

Stori kubwa ambazo zimechukua headlines wiki hii ni kuhusiana na couples za mastaa wa Kibongo ambapo couple hizo zinahusushwa na tetesi za kuachana ,mwimbaji wa Hip Hop Roma Mkatoliki ameingia kwenye list na kudaiwa kuwa ameachana na mke wake, Alikiba na mkewe pia.

Mwimbaji Vanessa Mdee alienda mbali na kuweka wazi kuwa hakuna penzi tena kati yake na Juma Jux hii ni baada ya mashabiki kuwa na maswali mengi kuhusu penzi lao na Jux kuonekana kuwa ameshasonga mbele na maisha yake akiwa na mpenzi mpya.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mwanzo mwisho kuhusu mtikisiko kwenye mapenzi ya mastaa.

VIDEO: HAMISSA MOBETTO APEWA DILI LINGINE NONO

Soma na hizi

Tupia Comments