Top Stories

Gambo achukua fomu yakugombea ubunge Arusha,yupo aliyepambana na Lema 2015

on

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amechukua Fomu yakugombea ubunge katika jimbo la Arusha mjini kupitia CCM

Kati ya wagombea waliojitokeza kuchukua fomu ni pamoja na Dkt Philemon Mollel ambaye alichuana na Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Kupitia CHADEMA Godbless Lema mwaka 2015.Wengine ni Thomas Munis,Noel ole Varoya huku wengine wakiendelea kujitokeza

ALIYEKUWA MEYA ARUSHA,KIJANA WA MIAKA 21 WAUTAKA UBUNGE ARUSHA “SITAONGEA CHOCHOTE”

Soma na hizi

Tupia Comments