Habari za Mastaa

Majibizano ya Shilole na Nuh Miziwanda @Instagram ilikuwa ni ujio wa ‘Ganda la Ndizi’?!!..(Audio)

on

ganda

Yale mabishano kati ya Shilole na Nuh Mziwanda kwenye mtandao wa kijamii wa @Instagram kumbe ilikua kwa ajili ya wimbo wao mpya?.

Mabishano kati yao yalitafsiri na wengi kama wamegombana, lakini kumbe walikua wakijiandaa kuachia ngoma yao mpya inayoitwa ‘Ganda la Ndizi’.

Ngoma hiyo imesimamiwa na mtayarishaji Mr.T Touch.

Wasikilize hapa mtu wangu…

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments