Ni Gari ya mizigo ikielea juu ya maji katika kivuko cha Kyanyabasa kilichopo Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera kinachovusha watu kupita mto Ngono na hii ni baada ya gari hiyo kutumbukia kwenye maji wakati wakivuka mto huo kwa kutumia kivuko hicho.