Michezo

VideoFUPI: Serengeti Boys wakiimba kwa kujihami hapa Gabon kabla ya kuingia uwanjani

on

Hiki ni kipisi cha video kikionyesha Wachezaji wa Serengeti Boys walivyowasili katika uwanja wa Port Gentil hapa Gabon wakielekea katika vyumba vya kubadilishia nguo huku wakiimba kwa kujihami zikiwa zimebaki dakika chache kucheza game yao nyingine kubwa vs Niger kwenye michuano ya AFCON U17

VIDEO: Wabongo walivyovaa kizamani kwenye party ya Sallam, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments