Mbunge wa Masasi Mjini Mkoani Mtwara, Geofrey Mwambe na Familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi (Land Rover Discovery) walilokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea March 27, 2022 wakati Mbunge Mwambe na Familia yake wakielekea Masasi kwenye msiba wa Baba Mzazi wa Mbunge huyo, chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.