Habari za Mastaa

Gari la Msanii Shetta la kamatwa ahuzunika kuona wengine wakifurahia

on

Moja ya taarifa iliyoripotiwa siku ya leo ni Pamoja na hii inayomuhusu Msanii Shetta ambaye amejikuta Kwenye wakati mgumu baada ya Gari lake aina ya Discover 4 kushikiliwa na TRA kwa kosa la kutokulipwa kodi

Shetta ambaye amethibitisha taarifa hiyo kuwa ni kweli Gari lake limekamatwa na bado anasuburi uchunguzi mwingine umalizike ili afahamu ni taratibu gani anaweza kuzifanya ili kulikomboa Gari hilo.

Wakati Shetta akiwa anasubiri hilo, ameonesha kusikitishwa na yanayoendelea kwa baadhi ya watu walioonesha kufurahi matatizo hayo yaliyomkuta.

..>>>” huwa wananichekeaga usoni tu !! Ila wanafki sana!!” Shetta

Bonyesa Play hapa kwa taarifa  zaidi.

Soma na hizi

Tupia Comments