Gari mpya yaangukiwa na mti Arusha, Nyuki wazuia Watu Kuliondoa, “Watu wanaogopa”
Share
0 Min Read
SHARE
Mti wa siku nyingi katika Mtaa wa Goliondoi Mnara wa saa Arusha,umeangukia gari dogo lililokuwa limeegeshwa chini ya mti huo huku Watu wakishindwa kulitoa baada ya kuwepo kwa nyuki wengi waliozingira eneo hilo na kuwafanya Watu kukimbia.