Top Stories

Gari ya ajabu yawashangaza watu Arusha,jamaa kainunua millioni 68 (+video)

on

Muonekano wa gari hili umewashangaza watu wengi kutokana na muonekano wake lakini mmiliki anasema gari hiyo ameinunua million 68 nchini japani alipokwenda kusoma na ina kazi mbili ikiwemo kwenda kutembelea sehemu mbalimbali ku-enjoy lakini kazi yake nyingine inabeba maiti na inaweza kumhifadhi kwa zaidi ya siku ishirini.

DC MWAIPAYA AWEKEWA KINYESI CHA TEMBO KWENYE MKUTANO “TUJARIBU TUONE”

Soma na hizi

Tupia Comments