Top Stories

Gari ya kanisa yaua watatu sita Arusha akiwemo padri “iligonga gari kwa nyuma”-polisi

on

Watu sita wamefariki na wengine kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la kambi ya jeshi sopa,Meserani Monduli Arusha baada ya gari ya kanisa katoliki kuligonga lori bovu kwa nyuma

Kamanda wa polisi Arusha Salum Hamduni amesema mmoja wa waliofariki ni padri Sixtus Massawe wa kanisa Katoliki Parokia ya Masaktas Jimbo la Mbulu Manyara

“Miili mitano bado haijatambuliwa,chanzo cha ajali ni uzembe wa dereva kuendesha gari kwa mwendo kasi wakati wa usiku bila kuchukua tahadhari” -Kamanda Hamduni

NDANI YA DALADALA: BINTI KABAKWA, KAPORWA FEDHA “GARI ILIBADILI NJIA, NILIKUWA NAENDA NYUMBANI”

Soma na hizi

Tupia Comments