Shirika lisilo la kiserikali FTK( foundation transformation kilimanjaro) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania wamezindua rasmi miradi mitatu ( 3) ikiwemo maktaba ya kujisomea katika shule ya sekondari Tpc kujenga bweni la wasichana pamoja na kunua gari la bus mama Mkoani Kilimanjaro
Bweni hilo linalochukua Wanafunzi zaidi ya 60 ambapo wameeleza kuwa kabla ya kujengea bweni hilo walikuwa wanalala madarasani kutokana na umbali wa majumbani mwao
Wadau kwa kuiona changamoto hiyo iliyokuwa ikiwakabili wanafunzi hao hususani kwa watoto wakike ambao walikuwa walikuwa wanatoka umbali mrefu na wengine kulala madarasani ndipo wakaamua kujenga bweni la wasichana ili kuwaepusha na vishawishi visivyo vya kimaadili lilogharimu zaidi ya shilingi
Tangu kuanzishwa kwa shule hiyo mwaka 2016 kwa mara kwanza imejengewa bweni la wasichana pamoja kujengewa maktaba ya kusomea ambapo hii itawasaidia kuimarika kielimu
Miongoni mwa vitu vilivyonunuliwa ni gari aina ya Land Cruiser lenye thamani ya shilingi millioni 226 litakalosaidia akina mama wanaozunguka kiwanda cha TPC,Bweni la shule ya sekondari TPC litakalobeba wanafunzi kike 64 pamoja na makta ya million 126