Top Stories

Gauni la Bi Harusi lawaka moto ukumbini, gari lao Hummer lagonga (+video)

on

Siku ya harusi kikawaida wengi wetu huwa ni siku ya furaha lakini inapotokea visa vyenye mshikemshike huwa inatibua kabisa furaha hiyo, AyoTV leo inakuletea hizi dakika 7 za simulizi ya harusi ambayo moto ulishika kwenye gauni la Bibi Harusi wakati wakiingia ukumbini ambapo pamoja na kwamba pia siku hiyo ilionekana kuwa na vimikosi baada ya gari la Maharusi hao kuligonga gari jingine kabla ya kuingia ukumbini, haikuwapunguzia Maharusi hao furaha yao kwa namna yoyote ile.

Soma na hizi

Tupia Comments