Video Mpya

AudioMPYA: Jux akiwa na Ex wake Vanessa Mdee wameileta ‘Sumaku’

By

on

Baada ya kufanya ngoma ya pamoja ‘Juu’ wakiwa bado wana uhusiano Vanessa Mdee pamoja na Juma Jux wameisogeza karibu  ‘Sumaku’ ambapo wimbo huu ni ngoma ambayo inapatikana ndani ya Album ya Juma Jux ‘The Love Album’ ambayo inatajwa kuachiwa hivi karibuni.

VIDEO: MAMBO SHWARI!! AlIYEZICHAPA NA TID KAZUNGUMZA “TULIWEKWA KATI TUKAPATANISHWA, NIWASHIKAJI”

Soma na hizi

Tupia Comments