BreakingNews

BREAKING NEWS: Mbunge Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana

on

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo March 3, 2017 imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, Mahakama hiyo ilimtaka Lema asaini bondi ya shilingi milioni 1 na wadhamini wawili wenye vitambulisho vinavyotambulika ambapo alikidhi vigezo na kuachiwa huru.

VIDEO: Alichokisema Mbunge Godbless Lema baada ya kuachiwa kwa dhamana leo March, 3, 2017

Soma na hizi

Tupia Comments