AyoTV

Trailer na Interview za movie ya ‘Going Bongo’ itayoonyeshwa cinema Dsm kesho

on

December 11 2015 kwenye Cinema Mlimani City Dar es salaam kutaonyeshwa kwa mara ya kwanza movie ya Mtanzania Ernest Napoleon iitwayo ‘Going bongo‘ ambayo imechezwa Marekani na Tanzania, kwa Trailer na Interview ya Ernest tazama hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments