Mix

Hii ndio filamu ya kwanza kutengenezwa Bongo na kuingia kwenye Headlines kubwa Uingereza !!

on

b

Niliwahi kukusogezea story kuhusu Movie ya Going Bongo ambayo uzinduzi wake ilikuwa APRIL 11 2015 maeneo ya Tegeta, DAR.. headline nyingine kuhusu uzinduzi ni hii ambayo nimekutana nayo Daily Mail Online.. 

Headlines inahusu ilivyokuwa kwenye uzinduzi huo ndani ya London Uingereza.. mastaa wengi wa Uingereza walitokezea kwenye Red Carpet ya uzinduzi huo na kufanya story hiyo kupata headlines zenye ukubwa wake mitandaoni.

Going

Hii inaingia kwenye historia kubwa ya kuwa movie ya kwanza iliyotengenezwa ndani ya TZ ambayo imewahi kuandikwa na mitandao ya Magazeti makubwa Uingereza kama Daily Mail.

.

Wadada mapacha, Amy na Sally Broadbent nao walionekana kwenye  Series ya TOWIE.

295C489C00000578-3111562-image-m-23_1433453589168

Gemma Oaten, mwigizaji ambaye ameonekana pia kwenye Series ya Emmerdale

295C428400000578-0-image-m-72_1433448943499

Grace Andrews.. Huyu ni staa pia ambaye aliwahi kuigiza katika Series ya TOWIE.

295C586D00000578-3111562-image-a-24_1433454038760

Lizzie Cundy.. Huyu ni mwanamitindo na mtangazaji wa TV mwenye jina kubwa ndani ya UK.

 

Post hiyo iliongozana na caption hii yapongezi.

gOING bONGOREEE

 

Lots of love to the one and only Ernest Napoleon for a very successful film premiere in London. You are the african pride bro….keep it up. @goingbongo @goingbongo @goingbongo.“–@

millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote kubwakubwa mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi hapa>>> twitter Insta na Facebook pia zitakufikia zote moja kwa moja.

Tupia Comments