Mwigizaji wa bongo movie Gabo Zigamba amepata ajali ya gari akielekea kutembelea kwenye hifadhi ya Ruaha ikiwa ni muda mfupi tu toka alipotembelea kituo cha Watoto yatima na kutoa misaada Iringa.
Gabo ameiambia millardayo.com kwamba hajaumia popote ila alikua na wenzake wawili kwenye gari ambao ndio wameumia kiasi ila hali zao zinaendelea vizuri.
ULIKOSA KITU DIAMOND AMESEMA KUHUSU KUWA MAPENZINI NA HAMISA MOBETTO? BONYEZA PLAY HAPA CHINI