AyoTV

VIDEO: Exclusive ya Mbunge Goodluck kasema na wanaoponda kauli yake ya sanamu ya Diamond

on

Baada ya headlines nyingi kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kauli ya Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga alipokuwa akichangia katika bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo May 13 2016 na kusema..

>>’Ingekuwa amri yangu tungechonga sanamu la Diamond tukaliweka kwenye mnara wa Askari, ule mnara tumeuchoka. Ametufikisha mbali naameitangaza nchi yetu huko mbele

AYO TV imemtafuta leo na kufanya naye Exclusive interview ambapo hapa anaelezea kwanini alitoa kauli ile na anachotaka watu wamuelewe…

ULIIKOSA HII? HALIMA BULEMBO MBUNGE MDOGO KULIKO WOTE BUNGENI ‘SIPENDI KUTUMWATUMWA’

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments