AyoTV

VIDEO: Walichokifanya Dogo Janja na Madee kwenye stage ya Fiesta Moshi

on

Fiesta 2016 ni jukwaa la burudani linaloendelea kutembea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania linalopambwa na mastaa mbalimbali kutoka bongoflevani kwenye jukwaa moja la burudani , Mtu wangu nakukutanisha na wakali wawili kutoka Bongoflevani Dodo Janja na Madee walipopeform kwenye Jukwaa la Fiesta Moshi, pia usisahau kuacha comment yako hapa chini na wakali hawa wataziona hapa

ULIMISS HII YA BEN POL ALIVYOPANDA KIFALME KWENYE JUKWAA LA FIESTA DODOMA? UNAWEZA KUITIZAMA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments