Top Stories

Polisi Dar waanza doria za Helikopta….(VIDEO+NUKUU)

on

Jeshi la Polisi Dar es salaam litakua likifanya doria kwa njia ya Helikopta kupiga macho na kujua hali halisi ya mitaani kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha, Naibu Kamishina wa Polisi kikosi cha anga anaelezea zaidi kwenye AyoTV.

”Jukumu kubwa la Jeshi la Polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao na kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Jijini Dar es salaam, na kuhatarisha maisha ya raia na mali zao, hatutaki kusikia hizi taarifa kupitia vyombo vingine, ndio maana tumeamua kutumia Helikopter ili kuona eneo kubwa zaidi.

Helikopter hii inatusaidia kuona kwa ukubwa zaidi  tukiwa juu n tunapokuwa tunaona tatizo  tunawasiliana na wenzetu walio chini hili kutoa msaada sehemu Husika”

Ulipitwa na hii? BREAKING: Mafuriko Dar, Jangwani HAPAFAI !!

Soma na hizi

Tupia Comments