Top Stories

Picha 15 za 2017 zitakazokuonyesha baadhi ya maeneo ya Dodoma

on

Kama hujawahi kufika Dodoma halafu ikatokea umepata safari ya kutembelea katika mji huo wa Bunge anza kufurahia kabisa mtu wangu… kwenye safari sio lazima uwe na pesa nyingi ili uenjoy!

Mazingira ya maeneo tofauti ya Dodoma ni kivutio ambacho kimekuwa kikivutia watu mbalimbali kutembelea na leo nimekusogezea picha tu nilizozipiga katika baadhi ya mitaa.

POLISI DSM WATOA MAJIBU KUSHIKILIWA HASHIM RUNGWE

Soma na hizi

Tupia Comments