AyoTV

VIDEO: Vituko vingine vya Mbunge ‘Bwege’ Bungeni May 10 2017

on

Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Bungara maarufu kwa jina la ‘Bwege‘  alisababisha wabunge kuangua vicheko wakati akichangia bajeti ya Wizara ya maji na umwagiliaji kwa style aliyokuwa akitumia na unaweza kumtazama hapa chini kwenye hii video….

VIDEO: Wawania Ubunge A. Mashariki kundi la CHADEMA wakimwaga sera zao kwa Kiingereza 

Soma na hizi

Tupia Comments