Mix

Wengine waliamini wamekufa, leo ghafla Watu 15 waliofukiwa na kifusi toka juzi watuma msg

on

Taarifa za Watanzania kufukiwa na kifusi kwenye mgodi wa RZ huko Geita zimemuhuzunisha kila aliezipata lakini matumaini ya kuwapata Watanzania ambao iliaminika wamefariki, yamefufuka baada ya watu hao kutuma msg baada ya ukimya wa saa zaidi ya 20.

Kupitia AzamTV, Mwandishi wa habari Geita ameripotia kwa njia ya simu kwamba watu hao 15 wametuma msg na kusema wote wapo hai ila tu wanahitaji msaada wa chakula… unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini kusikiliza kitu walichofanya mpaka wakaweza kutuma msg

ULIPITWA? Tazama hii video hapa chini kuona jinsi Makomando wa Tanzania walivyoonyesha uwezo wao mbele ya Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments