AyoTV

VideoFUPI: Walivyookolewa Wachimbaji 15 waliofukiwa na mgodi Geita

on

Ni zaidi ya saa 50 Wachimbaji hawa 15 walikua wamefukiwa kwenye mgodi wa RZ Geita kanda ya ziwa Tanzania ambapo wengi waliosikia habari hizi waliamini tayari wachimbaji hao wamefariki sababu muda waliokaa ndani ni mrefu lakini kumbe haikua hivyo.

Hapa chini kuna video fupi ya eneo la tukio ikionyesha zoezi la uokoaji pamoja na jinsi walivyotoa taarifa jana wakiwa mgodini kwamba wanahitaji msaada.

ULIPITWA? Bonyeza play hapa chini kumsikiliza Mfungwa Mtanzania aliyeibia simu Gerezani China na kumpigia simu Millard Ayo kumueleza kila kitu kinachoendelea.

Soma na hizi

Tupia Comments