AyoTV

VIDEO: ‘Unafiki huu utatupeleka pabaya’ – Pauline Gekul

on

Hii inatokea Bungeni Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo ya bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ambapo Mbunge wa Babati mjini Pauline  Gekul ambaye aliitaka Serikali kuangalia changamoto zinazowakabili wanajeshi wa Tanzania ikiwemo mazingira mabovu wanayoishi.

HII KALI: Mchungaji aliyeoa Mke wa Muumini wake Kagera 

Soma na hizi

Tupia Comments