AyoTV

“Maajabu ya Mlimani City hayajawahi kutokea isipokuwa Tanzania” –Mbunge C.Ruge (+Video)

on

February 1, 2017 Wabunge walikuwa wakijadili taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu za Serikali za mitaa kuhusu shughuli za kamati kwa mwaka 2017 ambapo kati ya waliopata nafasi ni Mbunge wa viti maalum CHADEMA Catherine Ruge ambaye alilieleza Bunge kuhusu maajabu makubwa yaliyofanyika kimakosa katika mkataba wa Mlimani City.

GOOD NEWS: Vijana wa Tanzania watarajie haya kutoka sekta ya Madini na Gesi

Soma na hizi

Tupia Comments