Habari za Mastaa

Sikiliza wimbo mpya wa Weusi uitwao Gere hapa.

By

on

COVER copyUnaweza kuwa umewahi kulisikia kwenye taarabu neno hili Gere lakini Gere hii iliyoimbwa na Weusi ni tofauti,sikiliza ujue Gere ipi waliyomaanisha Weusi kwenye hii nyimbo ambao umefanywa kwa ushirikiano wa maproducer wawili Chizan Brain na Nahreel.

Bonyeza play kusikiliza na Kudownload.

Tupia Comments