AyoTV

VIDEO: Mahubiri ya Askofu Gwajima kanisani Jpili baada ya kuachiwa na Polisi juzi

on

Askofu wa kanisa la Ufufuo Josephat Gwajima aliachiwa na Polisi Dar es salaam February 11 2017 baada ya kushikiliwa toka February 9 kituo cha Polisi Kati kutokana na kutajwa kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya Dar es salaam, hii hapa chini ni video ya mahubiri ya Askofu huyo kanisani kwake February 12.

VIDEO: Askofu Gwajima alivyoachiwa na Polisi February 11, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments