Top Stories

Mbeya napo kaibuka ‘Magufuli’ anajiita MC Magu, anaiga sauti ya JPM (+video)

on

Bongo Elias Mwaliego maarufu kama MC Magu kutokea katika Jiji la Mbeya yeye ni mmoja ya waigizaji wa sauti ya Rais John Magufuli na nasema ameanza kumuiga tangu mwaka 2015 alipoenda kuchukua Fomu ya Urais, MC Magu yeye huwa anaigiza sauti hizo katika hafla mbalimbali na katika baadhi ya vituo vya radio Jijini Mbeya.

WACHEZAJI KUMI WALIOKUBUHU KUVUTA SIGARA

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments