Top Stories

Ijue fursa inayotolewa kwa wabunifu wa Kitanzania

on

Mradi wa data kwa maendeleo ya jamii unaofadhiliwa kwa msaada wa Serikali ya Marekani umekuwa ukiendesha shindano la wabunifu ambao wanashindana kuleta data kwa maendeleo.

Shindano hilo linatoa changamoto ambazo washiriki wanashindana kwa kuja na mawazo ya kibunifu ya namna ya kutatua hizo changamoto.

Ulipitwa na hii? MILIONI 5 zitakazotolewa na Fema kwa kijana wa Kitanzania

Soma na hizi

Tupia Comments