Top Stories

Diwani amewezesha kuchimbwa visima 7 na kuviwekea mtambo wa kuondoa Madini joto (FLORIDE)

on

Leo February 4, 2018 Diwani wa Kata ya Kikatiti Elisha Mungure amewezesha ujenzi wa Visima saba kutoka kwa wafadhili ambavyo vitasaidia kutibu maji ili kuondoa Madini joto (FLORIDE) ambayo yamekuwa yakisababisha madhara kwa watumiaji.

Wilaya ya Arumeru imekuwa na maji kwa asilimia kubwa ambayo yana Floride na kusababisha meno kuoza.

“Unaona wamekuja na hii Teknolojia ambayo itawasaidia wanafunzi na wananchi kuondoa Floride na katika vipimo tulivyofanya  imeshuka hadi 1.4 ambapo maji haya yanaweza kutumika sasa,” -Mungure

TRA YAFUNGIA HOTELI TATU MTWARA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments