Mix

Video:The Ubunifu Space walivyoichambua ya Khalid Jones ‘Khali Cartel’

on

The Ubunifu Space ni kundi linaloundwa na watu sita kutoka nchini mbalimbali ambao ni Ian, Tonye, David, Bryan, Sade, Monigue, watu wao wamejipatia umaarufu katika mtandao wa Youtube baada ya kuchambua videos za wasanii mbalimbali zikiwemo za Africa hata za wa marekani.

Sasa basi time hii wameiona yamsanii anaechipukia video ya rapper Khaligraph Jones ‘Khali Cartel’

 

Soma na hizi

Tupia Comments