AyoTV

VIDEO: “Waziri liangalie hili ili hata vilaza wenzangu wakasome” – Mbunge Agnes Marwa

on

Bunge limeendelea na shughuli zake leo May 15, 2017 ambapo moja ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama ni pamoja na Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM, Agnes Marwa ambaye alisimama na kulieleza Bunge kuhusu maombi ya baadhi ya wanafunzi wa mafunzo ya ziada, yaani QT ambao wametakiwa kuwa na ufaulu mkubwa zaidi ili kukidhi vigezo tofauti na wanafunzi wa kawaida.

EXCLUSIVE: Aliyetoa pesa gari la zawadi ya Miss TZ 2016 likanunuliwe afunguka

Soma na hizi

Tupia Comments