Licha ya kuita jina la Ruge zaidi ya mara tatu na kutonyanyuka Mrisho Mpoto huku machozi yakimiminika mashavuni mwake aliendelea kuita na kuimba kwani mchango wa mpendwa wetu Ruge Mutahaba kwenye maisha yake ni mkubwa.
Tazama Mpoto awaliza watu, Makonda, Alikiba washindwa kujizuia (+video)

Leave a comment
Leave a comment