Top Stories

“Mimi nimeathirika, tuwe na akiba ya maneno mtaumbuka” -Mbunge Ditopile

on

Ni zamu ya Mbunge wa viti maalum CCM Mariam Ditopile kusimama Bungeni Dodoma ambapo amewataka watu wanaokosoa maamuzi ya Rais John Magufuli wakiwemo wapinzania kujifunza kuwa na maneno ya akiba kwasababu watakuja kuumbuka kipindi ambacho wataona matokeo ya maamuzi yake ikiwemo suala la korosho.

LIVE MAGAZETI: “Katiba mpya lazima”, Shule yachunguzwa kwa ushoga

Soma na hizi

Tupia Comments