Video Mpya

VideoMPYA: Dogo Janja ameiachia rasmi “Banana”

on

Msaani Dogo Janja baada ya kufanya vizuri kwa wimbo wake wa ‘Wayuwayu’ na kuzichukua headlines kwa kujitumia mwenyewe kama video vixen, sasa ameamua kuachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘Banana’ Bonyeza Play kuitazama video yenyewe.

Povu la Mke wa Chege kwa wanaomfuata DM juu ya Mumewe ‘Muhuni si handsome’

Soma na hizi

Tupia Comments