AyoTV

Kitu Mbunge Heche amesema kuhusu Polisi kukamata Wabunge

on

Ishu ya kukamatwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya imezua hisia tofauti ambapo Wabunge wenzake wamekuwa wakiizungumzia.

Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche naye amezungumzia ishu hiyo ya Jeshi la Polisi kukamata Wabunge wa CHADEMA wakiwa katika majukumu ya kuleta maendeleo kwa wapiga kura wao.

>>>”Nilimualika Mbunge wa Kenya akaja kutuchangia tukajenga shule. Leo Mbunge Ester Bulaya amekuja kuchangia mifuko 50 ya cement anakamatwa kama mhalifu. Ni sheria gani kwenye vifungu vyote vya nchi hii ambayo inasema Mbunge haruhusiwi kwenda kuhutubia kwenye Jimbo lingine?”

“Tumuombee Rais Magufuli maana sisi ndio tuliomuajiri…” – Matiko

CHADEMA imethibitisha Ester Bulaya kukamatwa na Polisi…play hapa chini!!!

Soma na hizi

Tupia Comments