AyoTV

VIDEO: Walichokifanya Quick Rocka na Darasa kwenye stage ya Fiesta Mbeya

on

Fiesta 2016 ni jukwaa la burudani linaloendelea kutembea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania linalopambwa na mastaa mbalimbali kutoka bongoflevani kwenye jukwaa moja la burudani , Mtu wangu nakukutanisha na wakali wawili kutoka Bongoflevani Quick Rocka na Darasa walipotoa burudani ya nguvu kwenye Jukwaa la Fiesta Mbeya  pia usisahau kuacha comment yako hapa chini na wakali hawa wataziona hapa

ULIIKOSA HII YA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU KUFANYA COLLABO NA MSANII WA KIKE TANZANIA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments