Habari za Mastaa

VIDEO: Waigizaji walivyotembelea kituo cha Rahma Orphans Iringa

on

Ni headlines za wasanii kutoka tasnia ya filamu wakiongozwa na mwenyekiti wao, Steve Nyerere ambao Mnamo April  14 walifanya tamasha la Amka Kijana ambapo vijana wa mkoa wa Iringa walipata nafasi ya kujua maana kamili ya Sanaa pamoja na jinsi ya kukitambulisha kipaji kwa hadhira.

Sasa April 16, 2018 mastaa hao pia walifunga safari mpaka kwenye kituo cha watoto Yatima kiitwacho Rahma Orphans.

ULIIKOSA YA MKUU WA WILAYA KASESELA ALIVYOPANDA JUKWAANI KUCHEZA SINGELI BASI ITAZAME HII VIDEO

Soma na hizi

Tupia Comments