Video Mpya

VideoMPYA: Peter Msechu anakukaribisha kuitazama ‘Nimesamehe’

on

Tukiwa tunaisubiri Bongo Star Search (BSS 2018) ianze baaada ya kusimama kwa miaka kadhaa, leo naomba nikukutanishe na video mpya ya msanii Peter Msechu ambaye ni zao la BSS, Msechu ameachia video mpya leo inaitwa ‘Nimesamehe’ bonyeza Play kuitazama.

Ali Kiba kwa Ommy Dimpoz “Usiwaze Mungu ndie Muumbaji wa Wanyonge”

Soma na hizi

Tupia Comments