AyoTV

Yanga wameleta team B Mapinduzi “Muhimu ni Yanga ipo hapa”

on

Kikosi cha Yanga cha wachezaji 23 kiliwasili leo jioni ya January 2 2019 visiwani Zanzibar kikitokea Dar es Salaam kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2019, Yanga hata hivyo wameleta wachezaji wengi wa team B na kuchukua wachache wa kikosi cha kwanza.

Ayo TV na millardayo.com ilikuwepo visiwani Zanzibar na ilimnasa kocha msaidizi wa Yanga Noel Mwandila na ameeleza kuhusiana na kuwa cha muhimu ni Yanga kuwa hapa

“Sura mpya? nilifikiri ulikuwepo katika mkutano wa waandishi wa habari tuliofanya na Kocha alielezea kuhusiana na hilo lakini kitu muhimu ni kuwa Yanga ipo hapa na wachezaji wote hawa ni Yanga lakini tumekuja na key players kama wawili watatu”>>> Noel Mwandila

Kocha wa Simba baada ya kuwasili Zanzibar”Sio njia bora ya kuandaa timu”

Soma na hizi

Tupia Comments