Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ni zamu ya Monalisa, Natasha na Rose Ndauka sasa
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
May 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Burudani > Ni zamu ya Monalisa, Natasha na Rose Ndauka sasa
Burudani

Ni zamu ya Monalisa, Natasha na Rose Ndauka sasa

December 13, 2018
Share
2 Min Read
SHARE

Wakati msimu wa Siku Kuu ukiwa unazidi kunoga, wasanii wa Bongo Movie wanazidi kuirudisha sanaa ya filamu kwenye ramani kwa kuonyeshwa filamu hizo kipindi hiki cha Siku kuu, kupitia TV Stations za kwenye ving’amuzi nyumbani kwako.

Filamu hizo za kibongo zimeanza kuonyeshwa wiki iliyopita ikiwa ni katika jitihada za makusudi za kuiweka Bongo Movie katika chati nzuri na kutazamwa na watanzania wengi wanaopenda kufatilia filamu za nyumbani pamoja na nchi za jirani.

Alhamisi hii saa 3:40 Usiku kupitia ST Swahili channel filamu ya ‘Umuhimu Wako’ inayowakutanisha Rose Ndauka, Yvonne Cherry (Monalisa) na Mama Natasha (Natashamamvi) itakuwa ikiruka kwa mara ya kwanza.

Filamu hiyo inahusu binti mmoja na kijana wa kiume lakini kila mmoja wao ana safari na historia tofauti ambayo ameipitia maishani mwake. Kijana anapata misukosuko akijaribu kusimama tena baada ya mkewe kufariki na kumuachia watoto wawili.

Upande mwingine; binti anakumbana na changamoto kwa baba yake mzazi ambaye anamuona binti huyo kama muhuni,  Wawili hawa wanaingia katika mahusiano huku wakikabiliana na changamoto zao. Baadaye wanatulia baada ya majirani zao kuwasaidia, wanaoana na kuishi maisha ya furaha.

Filamu nyingine zitakazoruka wikendi hii ni ‘Mjerumani’ siku ya Ijumaa na ‘Milioni 10’ siku ya Jumamosi, filamu hizi za vichekesho zimesheheni mastaa wa Komedi kama vile Ringo na Mau Fundi.

UTACHEKA:Vibe la Pierre, Mzee wa Likwidii alivyokata keki na kucheza

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Picha: CRDB wazindua huduma ya Premier Banking nchini Burundi

Picha: Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Burundi aipongeza benki ya CRDB ya Burundi kwa Miaka 10 ya Mafanikio

Bashungwa ateua Kamati Serengeti Music Festival

J. Cole atawala nomination Tuzo za Grammy, list hii hapa

TAGGED: bongo movie
Rama Mwelondo TZA December 13, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Zitto Kabwe arudi mahakamani, kesi yake kuchukua mashahidi 15 (+video)
Next Article Europa League, Chelsea na Arsenal kazi imeisha imebaki kwa Samatta na Genk
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
Magazeti June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
Top Stories May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
Top Stories May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Top Stories May 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

May 31, 2023
Top Stories

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

May 31, 2023
Top Stories

Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo

May 31, 2023
Top Stories

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

May 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?