AyoTV

Kakolanya afunguka kuhusu Yanga baada ya kupewa Tsh Milioni 2

on

Baada ya golikipa namba moja wa Yanga Beno Kakolanya kugomea mazoezi na kujiunga na timu hiyo kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu na kushinikiza madai yake anayodai apewe ndio acheze yanayotajwa kufikia Tsh Milioni 15.
Leo amepewa Tsh Milioni 2 na Mkurugenzi wa CZI Cyprian Musiba na kuahidiwa kuwa atapewa Tsh Milioni 13 baadae jambo lake linafanyiwa ufumbuzo, Kakolanya ameahidi kuwa anarudi Yanga kucheza huku akiendelea kusubiri malipo yake menginge yakamilishwe.


MO Dewji alivyojitokeza Taifa kwa mara ya kwanza baada ya siku 49 toka atekwe

Soma na hizi

Tupia Comments